PICHA 24: KATIKA PARTY YA MTOTO WA Diamond NA Hamisa Mobetto

Usiku wa October 13 2017 katika ukumbi wa King Solomon inafanyika party ya mtoto wa Hamisa Mobetto na Diamond Platnumz ambaye anajulikana kwa jina la Abdul ‘Prince Dee’, mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee picha 24 ya kinachoendelea katika party hiyo.

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.