MA ADMIN WA WHATSAPP KUWAJIBIKA, BY TCRA





Mamlaka ya mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ imekutana na viongozi wa dini wanaounda kamati ya mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kutoa semina juu ya matumizi salama ya simu na mitandao.
Akizungumza kwenye Semina hiyo Mratibu msaidizi wa polisi, Joshua Mwangasaamesisitiza kuwa linapotokea kosa lolote la mtandaoni mtu asiende TCRA bali aende polisi, zaidi amesema Maadmin wa group za WhatsApp watawajibika pale uhalifu wa kimtandao utakapofanyika kwenye group lake


                                    BOFYA HAPA KUONA VIDEO

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.