KAULI 10 ZA MTU ASIYE NA MALENGO WALA UTHUBUTU.


Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu.

1. Sina mtaji

2. Sina Connection

3. Nitaanza rasmi kesho

4. Mimi ni wa hivihivi tu

5. Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma

6. Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo
 walioniangusha/kunitenda/kikwazo

7. Kupata ni majaliwa

8. Usilazimishe mambo

9. Kuna watu special siyo mimi.

10. Sina bahati

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.