MABAO YA CHIRWA NA GADIEL YALIYO WAPA YANGA USHINDI DHIDI YA AZAM FC




Magoli yalio ipa Yanga ushindi dhidi ya Azam Fc, mabao ya Yanga Yalifungwa  na CHIRWA dakika ya 30 ya mchezo  NA GADIEL dakika ya 45.
Bao la Azam Fc lilifungwa mapema dakika ya 4 ya mchezo na CHILUNDA




Matokeo ya mechi nyingine za ligi kuu leo ni

Mbeya City 0-0 Mtibwa sugar

Mwadui Fc 2-2 Njombe mji

Kagera sugar 0-0 Lipuli Fc

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.