KAMA BADO HUJAONA PICHA 5 ZA TUNDU LISSU AKIONYESHA TABASAMU LAKE AKIWA HOSPITALI NAIROBI



TUNDU LISSU: Picha ya kwanza ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ikimuonyesha akitabasamu na kupungia mkono akiwa hospitalini Nairobi Kenya. Ni picha ya kwanza inayomuonesha  mwanasheria huyo tangu kupigwa risasi mjini Dodoma mwezi uliopita . Rais wa chama hicho cha upinzani , Freeman Mbowe amesema Tundu Lissu anatarjiwa kutoka hospitali wiki ijayo, lakini kwa kuhofia usalama wake hawatamrudisha TANZANIA


Picha kwa hisani ya CHADEMA







No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.