HAWA NDIO WALIO CHUKUA TUZO ZA FIFA KWA MWAKA 2017





Ronaldo, achukua tuzo ya FIFA kam mchezaji bora wa kiume akiwapiku wenzake Messi na Neymar. Hio ni tuzo yake ya tatu akiifikia rekodi ya Zidane.








FIFA imemtaja Zidane kuwa kocha bora wa mwaka akiwapiku Conte na wengine,
Zidane ni kocha wa Timu ya Madrid ya nchini Hispania.







Hiki ndicho kikosi bora cha mwaka kilicho tajwa na FIFA.





Mchezaji bora wa kike, Lieke Martens, raia wa Uholanzi akicheze timu ya wanawake ya Barcelona.






Tuzo ya Fair Play imeenda kwa Francis Kone.






Kocha bora kwa upande wa Wanawake.




Mashabiki wa Celtic wamechukua tuzo ya wachabiki bora wa mwaka katika tuzo hizo za FIFA.




Giroud amechukua tuzo ya goli bora la mwaka, alifunga goli hilo kwa staili ya 'scorpion'

ANGALIA HAPA GOLI HILO










Tuzo ya kipa bora imeenda kwa kipa mkogwe Buffon, ambaye pia ametajwa katika kikosi bora cha mwaka cha FIFA.



No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.