[[ VIDEO ]] KAMA HUKUONA MAGOLI YA YANGA vs SINGIDA UNITED, HAYA HAPA

Jumamosi ya August 5 2017 uwanja wa Taifa Dar es salaam club ya Dar es salaam Young Africans ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida United, mchezo huo ulimalizika kwa Yanga kupata ushindi wa magoli 3-2 Singida wakifundishwa na kocha wa zamani wa Yanga Hans van Pluijm.

BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO 

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.