BODI YA MIKOPO (HESLB) YATOA VIGEZO VYA KUPATA MKOPO MWAKA WA MASOMO 2017/18


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu itaanza kupokea maombi ya mikopo kuanzia tarehe 6 Agosti 2017 hadi tarehe 4 Septemba, 2017.

Waombaji wote wa mkopo mnasisitizwa kusoma mwongozo wa utoaji mikopo kwa mwaka 2017/2018, pamoja na taratibu nyingine za uombaji mkopo kabla ya kujaza fomu za maombi ya mkopo zinazopatikana kwenye mtandao wa https://olas.heslb.go.tz

Kusoma mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo kwa mwaka 2017/18 bonyeza hapa

Kusoma hatua za kufata kufanya maombi ya mkopo na malipo bonyeza hapa

Kusoma kuhusu sifa za msingi za mwombaji kwa kiswahili bonyeza hapa 

na kwa kiingereza bonyeza hapa

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.