UJUMBE WA BUSARA KABISA, HAJI MANARA KWA IBRAHIM AJIB

Moja kati ya headlines za usajili kwa Tanzania zilizosambaa kwa kiasi kikubwa ukichana na usajili wa Haruna Niyonzima kutoka Yangakujiunga Simba ni usajili wa Ibrahim Ajibkutoka Simba kwenda Yanga usajili ambao uliwashitua watu wengi kwa hawakutegemea kama utatokea.

Tumewahi kuona wachezaji kadhaa wakikutana na wakati mgumu pale watakapokutana na timu zao za zamani wakiwa wamevaa jezi za timu pinzani lakini afisa habari wa Simba Haji Manara ametumia ukurasa wake wa instagram kumuandikia ujumbe mzuri na busara Ajib.



Alichokiandika Haji Manara kwa Ajib kupitia instagram account yake
“Najua nini unamiss dogo ila kafanye kazi hapa ni home,anytime!!umeondoka bila maneno ya hovyo,umetuheshimu na sisi tutakupa heshima yako na kuhakikishia hutasumbuliwa na fan yoyote wa Simba,,ustaarabu upo nyoyoni mwetu @ibrahimajibu23>>> Manara

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.