HABARI MUHIMU KUTOKA BODI YA MIKOPO ( HESLB )


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Profesa William Anangisye kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Prof. Anangisye ni Mkuu wa Chuo Kishiriki chja Dar es Salaam (DUCE).


No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.