MANARA 'NINACHO OGOPA NI KUWA YANGA HAWATOKUJA'



Baada ya kumalizika kwa mechi ya Simba Dayambapo timu ya Simba iliwatambulisha wachezaji wake wapya na kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda na kufanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0, Simbawanatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki.
Afisa habari wa Simba Haji Manara ambaye baada ya game akaleta utani kuwa Yangahawatokuja siku ya ngano ya Hisani August 23, Simba wanatarajia kucheza game mbili za kirafiki dhidi ya Singida United mjini Dodomana Mtibwa mjini Morogoro.
“Tutacheza mechi ya kirafiki na Mtibwa ya kuchangia damu halafu tutacheza tena na Singida United mjini Dodoma, mtaijua ratiba baadae lakini pia upo uwezekano wa kwenda Mwanza kucheza na Mbao FC>>> Haji Manara

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.