KAMA HAUKUONA GOLI LA SIMBA vs RAYON SPORTS (SIMBA DAY)... TAZAMA HAPA


August 8 2017 Simba Day timu ya soka ya Simba SC ilicheza game ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports katika uwanja wa Taifa Dar es salaam, Simba ambao waliutumia mchezo huo kama sehemu ya kutambulisha kikosi chao wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Mohamed Ibrahim dakika ya 16.

<< BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO YA GOLI HILO >>

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.