VIDEO: Babu Seya na Papi Kocha wakitoka gerezani Ukonga leo… machozi ya furaha !

Ni nderemo na vifijo, baada ya miaka 13 gerezani wakitumikia kifungo cha maisha.. Wanamuziki Babu Seya na mwanae Papi Kocha wameachiwa huru kwa msamaha wa Rais ambapo AyoTV ilipiga kambi nje ya gereza hilo la Ukonga kusubiri kuona wakiachiwa… bonyeza play hapa chini



HD VIDEO: RAIS MAGUFULI ALIVYOTANGAZA KUWASAMEHE BABU SEYA NA PAPI KOCHA… BONYEZA PLAY KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI


No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.