KWAHERI Akwilina Akwilini, PICHA NA VIDEO



Maelfu ya watu wamejitokeza kwa wingi Mtaa wa Marangu wilaya ya Rombo kumzika mwanafunzi wa NIT, Akwilina Akwilini aliyefariki dunia kwa kupigwa risasi tarehe 16 mwezi huu. Mazishi hayo yalihudhuriwa na Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako pamoja na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira.


BOFYA HAPA KUTAZAMA VIDEO






















No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.