JUA FAIDA ZA KULA NAZI MBICHI
Zifuatazo ni faida nyingine za kula nazi mbichi..
1. Ulaji wa nazi husaidia kwa kiwango kikubwa katika suala la kuondoa uchovu wa mwili.
2. Lakini pia ulaji wa nazi husaidia kuweza kuongeza kumbukumbu.
3. Ulaji wa nazi husaidia kukomesha kuwaka kwa utumbo.
4. Hufanya viungo viwe na nguvu.
5. Faida ya tano ni ile ambayo wengi wanaijua.
6. Ulaji wa nazi kwa wingi husaidia kuimairisha utumbo katika mwili wa mwandamu.
No comments