ZIJUE FAIDA ZA KULA BILINGANYA KWA AFYA YAKO

Bilinganya ni tunda ambalo wakati mwingine halivutii machaoni pa watu wengi, lakini ni tunda lenye faida lukuki katila afya ya mwanadamu hii ni  kulingangana na watalamu mbalimbali wa afya.

Miongoni mwa faida zitokanazo na kutumia bilinganya ni pamoja na;
1. Tunda hili wakati mwingine ukitumia kama mboga hutumika kutibu vidonda vya tumbo, kwa wale ambao wanasumbuliwa na tatizo hili hii ni tiba tosha.

2. Kama una jibu, basi ukitumia tunda hili inatibu kabisa. Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha unapondaponda kisha unapaka juu ya jibu.

3. Kwa wale wanakosa usingizi basi tunda hili tiba tosha. Hivyo jiweke utaratibu wa kula tunda hili ambapo unaweza kuchanganya katika mchanganyiko wa chakula kingine kama vile nyama, samaki na n.k

4. Lakini  pia watalamu mbalimbali wa masula ya afya wamebaini ya kwamba endapo utamuua kutumia tunda hili, linasaidia kwa kiwango kikubwa kuweza sumu zilizomo katika mwili wa mwanadamu.

Mwisho kabisa Muungwana blog wanakusisitiza ewe msomaji kuendelea kutumia Bilinganya kwani ni muhimu sana kwa ustawi wa afya iliyo njema.

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.