VIDEO:: HILI HAPA GOLI PEKEE LA YANGA BAADA YA DAKIKA 225 BILA YA KUFUNGA GOLI


Yanga leo ilicheza game yake ya tatu ya Ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting ikiwa Yanga kacheza game mbili za mwisho VPL bila kupata goli, hivyo ushindi wa goli 1-0 walilopata Yanga dakika ya 45 ya mchezo leo, linakuwa ni goli la kwanza kwa Yanga kushinda katika VPL baada ya kucheza kwa dakika 225 bila kufunga.



BOFYA HAPA CHINI KUONA GOLI HILO LA BUSWITA



Mtokeo mengine ni kama inavyo onekana hapo chini katika picha

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.