VIDEO:: ANGALIA VIDEO MPYA YA ROSE REE _ WIMBO_ DOW



Msanii wa Hip Hop Bongo kwa upande wa wanawake, Rose Ree ameachia video yake ya ‘Dow’ akiwa kama solo artist baada ya kutoka katika usimamizi wa The Industry. Audio ya ngoma hiyo imefanywa na Luffa ila video imeongozwa na Khalifani.



No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.