( PICHA & VIDEO )NI ALI KIBA NA NANDY WAILETEA TANZANIA TUZO TOKA AFRIMA

Ni siku nyingine, ni tukio jingine lililosubiriwa sana na Watanzania pia wakitaka kujua matokeo yatakuaje kwa Watanzania walioshiriki kwenye tuzo hizo za ALL AFRICA MUSIC AWARDS 2017 ( AFRIMA)

Nandy
Good news ni kwamba Mwimbaji wa Tanzania staa wa hit single ‘wasikudanganye’ ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa kike upande wa Afrika Mashariki wakati Mtanzania mwingine Alikiba ameshinda tuzo mbili.

Alikiba
Tuzo za Alikiba ni Best Artist or Group in African RnB and Soul ambayo ameshinda pamoja na Rapper wa Nigeria M.I ambae walifanya pamoja Smash Hit ya ‘Aje” na tuzo nyingine ni Kolabo Bora ya Afrika ambapo smash hit ya “Aje” imechukua…….. List kamili ya Washindi wote itakujia soon hapahapa






No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.