KAMA BADO HUJAONA MAGOLI YA CHIRWA NA EMMANUEL MARTIN WALIVYO IADHIBU MBEYA CITY, TAZAMA HAPA




Yanga leo November 19 2017 katika uwanja wa Uhuru ilicheza game yake ya 10 ya Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Mbeya City na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 5-0, magoli yakifungwa na Obrey Chirwa aliyepiga hat-trick na Emmanuel Martin aliyefunga magoli mawili.



No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.