MAJINA 30 YA WANAO WANIA TUZO YA BALLON d'Or MWAKA HUU















Jioni ya October 9 2017 France Footballambao ndio waandaaji wa tuzo za Ballon d’Or wametangaza majina 30 ya wachezaji wanaowania tuzo za Ballon d’Or kwa mwaka 2017, majina ya mastaa 30 yametajwa wakiwemo Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.


Ronaldo na Lionel Messi ndio wachezaji wanaoongoza kushinda tuzo hiyo, Lionel Messi akiongoza kwa kutwaa mara tano na akifuatiwa na Cristiano Ronaldo aliyetwaa tuzo hiyo mara nne.






No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.