DONALD NGOMA WA YANGA APEWA SAA 48 TU..! ILI.....





Jumamosi ya September 30 2017 mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea Yanga alishindwa kumaliza mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar na kutolewa nje ya uwanja akiwa anachechemea, AyoTV imemtafuta afisa habari wa Yanga Dismas Ten leo azungumzie hali ya staa huyo?
“Kwenye mazoezi ya gym leo Donald Ngoma alikosekana, watu wengi kama tunakumbuka kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa alipata maumivu ya msuli kwa hiyo daktari amesema kuwa bado anaendelea kumfanyia uchunguzi baada ya saa 48 atatoa majibu ya mwisho” >>>Dismas



No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.