[[ VIDEO ]] ANGALI VIDEO YA WANACHAMA WA CUF WALIVYO PIGANA MAHAKAMANI LEO


Moja ya habari kubwa leo August 4, 2017 ni tukio la Wanachama Chama cha Wananchi CUF wanaodaiwa kumuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad na wanaodaiwa kumuunga mkono Mwenyekiti Prof. Ibrahim Lipumba kupigana katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.