THOMAS ULIMWENGU AFANYIWA UPASUAJI, (PICHA 6 ZIKIONESHA MATUKIO MBALIMBAKI KATIKA UPASUAJI)





Jumatatu ya July 31 mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Thomas Ulimwengu anayecheza katika timu ya AFC Eskilstuna ya Sweden kutumia ukurasa wake wa instagram alitoa taarifa kwa watanzania kuhusu hali yake.






Ulimwengu kupitia ukurasa wake wa instagram ameweka wazi kuwa amefanyiwa upasuaji wa goti na kufanikiwa kumaliza salama nchini Afrika Kusini na anaanza mazoezi ya miguu kama sehemu ya tiba ya kuponesha jeraha hilo haraka.





source...... millardayo.com

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.