SIMBA DAY 2017


Baada ya kufanya usajili wa hatari Mabingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam, Wekundu wa Msimbazi  Simba SC, leo katika Uwanja wa Taifa  kutambulisha wachezaji wake wapya pamoja na kutambulisha uzi wao mpya watakao utumia kwa msimu wa 2017-2018

Utambulisho huo utafanyika kwa Simba kupimana ubavu na Mabingwa wa Azam Rwanda Premier League (ARPL) Rayon Sports.

 Shughuli nzima itakuwa Live Azam Sports HD, kesho  saa 10:00 Jioni


No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.