BODI YA MIKOPO HESLB YAANZA RASMI KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2017/18

HESLB imeanza rasmi kupokea maombi ya Mikopo kwa njia ya electronic kupitia OLAMS kwa Mwaka wa masomo 2017/18.

Raia wa Tanzania tu wanastahili kuomba mikopo ya elimu ya juu.

Tafadhali toa taarifa ya kweli juu yako mwenyewe na kukamilisha maelekezo yote ya kuwasilisha bahasha yako ya maombi. Maombi ya Mwaka wa Mwaka wa 2017/18 yatakubaliwa kuanzia 6 Agosti-2017 na tarehe ya mwisho itakuwa 4 Septemba-2017 saa 23:59 Hours.


No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.