ULIPITWA NA HARUSI YA LIONEL MESSI? ANGALIA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA HARUSI YA GWIJI HUYO WA MPIRA DUNIANI

Mchezaji wa timu ya taifa ya Argentine na klabu ya Barcelona, Lionel Messi amemuoa mpenzi wake wa sikunyingi, Antonela Roccuzzo hapo jana katika hoteli ya kifahari ya Rosario nchini Argentina.

Lionel Messi na mkewe Antonela Roccuzzo

Messi mwenye umri wa miaka, 30 na mkewe Antonela Roccuzzo , 29 wamekuwa wapenzi tangu utotoni na huku familia zao zikiwa zimeishi karibukaribu.  Harusi hiyo ya mchezaji bora duniani ilikuwa na wageni waalikwa 260 pekee huku maelfu ya askari polisi wakitanda maeneo hayo ya harusi katiangwa.


Messi alikutana na Roccuzzo akiwa na umbra wa miaka 13 kabla ya kuhamia Hispania.










Watu walio hudhulia katika harusi hio ni pamoja na familia yake 
Mama yake Messi Celia, baba yake Jorge na dada yake Maria wakifika kwenye harusi ya Messi

 Watu wengine walio fika ni hawa
Tokea kushoto ni  Xavi,Cesc Fabregas. na  Carles Puyol  


Samweli Eto'o alikuwa mgeni wa kwanza kupita  kwenye red carpet

Luis Suarez na mke wake Sofia Balbi 




Rosario Hotel City Center ikiwa imeandaliwa kwaajili ya shughuli hiyo
















No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.