CLEMENT SANGA ATEUA WAJUMBE WAPYA YANGA



Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Clement Sanga ameteuwa wajumbe wapya 12 watakaounda kamati ya mashindano.


Katika wajumbe hao wapya waliyoteliwa, Magid Suleiman ameteuliwa kuwa Mwenyekiti na Mustapha Urungo kuwa Makamu Mwenyekiti.



No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.