ANGALIA VIDEO INAYO ELEZEA TCU KUFANYA MABALIKO YA KUOMBA VYUO NA UTARATIBU ULIOPO 2017/18





April 15, 2015 wakati akizindua Hostel za Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Rais Magufuli aliiagiza Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania ‘TCU’ kutowachagulia Vyuo Wanafunzi wa Elimu ya Juu na kuwaacha wajichagulia wenyewe Vyuo wanavyovitaka.

Sasa leo 20, 2017 Kaimu Mtendaji Mkuu wa TCU Prof. Eleuther Mwageni amekutana na Waandishi wa Habari kutekeleza agizo hilo la Rais ambapo amesema wanaotarajia kuomba kujiunga na Elimu ya Juu kwa mwaka wa masomo 2017/18 wanatakiwa kutuma maombi yao moja kwa moja kwenye Chuo/Vyuo husika na siyo TCU kama awali.


No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.