AJIB ASAINI RASMI YANGA, ANGALIA VIDEO NA PICHA AKISAINI KWA WANA JAGWANI





Ibrahim Ajib ametambulishwa rasmi na klabu ya Yanga baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo kwenye mashindano mbalimbali kuanzia msimu wa 2017-2018.
Katibu Mkuu wa Yanga Charles Bonifasi Mkwasa na meneja wa timu Saleh Hafidh wamemtambulisha Ajib mbele ya waandishi wa habari ndani ya makao makuu ya Yanga mtaa wa Jangwani.





No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.