RATIBA YA LEO LIGI KUU VODACOM TANZANIA BARA
Baada ya mchezo mmoja wa jana kati ya Mbeya City dhidi ya Lipuli Fc ya mkoani Iringa kuisha kwa sare ya bila kufungana, ligi kuu Tanzania Bara raundi ya 14 itaendelea leo kwa michezo mitatu itakayofanyika katika viwanja tofauti tofauti.
Leo January 20-2018- Mtibwa Sugar wataikaribisha Njombe Mji ya mkoani Njombe saa 16:00 jioni katika uwanja wa Manungu-Morogoro.
Mbao Fc watawakaribisha (chama la wana) Stand United ya mkoani Shinyanga saa 16:00 jioni katika dimba la CCM Kirumba.
Mwadui Fc wao watawakaribisha Ndanda Fc saa 16:00 jioni katika
No comments