MAN U YASHINDA, YAWAUZIA KESI ARSENAL DHIDI YA CHELSEA, KWA MATOKEO YOTE NA RATIBA EPL, SOMA HAPA



Sasa Arsenal ni hivi mtaamua wenyewe, mufungwe na Chelsea muendelee kukabana na Burnley huko katkati ya meza ama muwafungwe tuendelee kuwa wapili!” Sio manenl yangu bali ni maneno ya msanii nguli Mwana FA.
Maneno ya Mwana FA yanakuja baada ya United kuwapiga Everton mabao mawili yanayowarudisha hadi nafasi ya pili ushindi unaowafanya United kuifunga Evrton mara 35 idadi kubwa zaidi kuifunga katika EPL
Alikuwa ni Anthony Martial alifunga bao la kwanza linalomfanya kuifunga Everton mabao 4 katika mechi 6 dhidi yao huku Jesse Lingard akifunga lingine linalomfanya kuwa mchezaji wa pili United kufikisha mabao 10 msimu huu.

Katika matokeo ya mapema klabu ya Liverpool imeendeleza wimbi la matokeo mazuri baada ya Sadio Mane na Ragnar Klavan kuwapatia Liva mabao mawili ambayo yamewafanya kuibuka kidedea na ushindi wa bao mbili kwa moja.

Sasa Manchester United wanasubiria matokeo ya mchezo kati ya Arsenal na Chelsea utakaopigwa siku ya Jumatano ambapo kama Chelsea atapigwa watabaki nafasi ya pili lakini Chelsea akishinda wataishusha United.


Matokeo mengine EPL



RATIBA YA LEO EPL


No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.