Simba leo January 18 2018 ilicheza game yake ya 13 ya Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Singida United na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0, magoli yakifungwa na Shiza Kichuya dakika ya 3, Asante Kwasi dakika ya 24 na Emmanuel Okwi aliyefunga magoli mawilu dakika ya 75 na 82.
No comments