VIJUE VITU VITANO VINAVYOMALIZA CHAJI KWA HARAKA KWENYE SIMU






1. Uwashaji wa bluetooth.

2. WI-FI.

3. Mwanga wa simu- blightnes.

4. Vibration- mngurumo.

5. Wallpaper zinazobadilika.

Hivyo ili kuepuka kumaliza chaji katika simu yako, yaepuke mambo ambayo nimeyaainisha hapo juu.

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.