KAMA HUJAONA MAGOLI YA HABIB KIYOMBO YALIYO "IUA" YANGA, HAYA HAPA,


Jumapili ya December 31 Yanga ilicheza mchezo wake wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania bara kwa mwaka 2017 dhidi Mbao FC katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza na Yanga kupoteza mchezo huo kwa kufungwa magoli 2-0, magoli ya Mbao yalifungwa na Habib Kiyombo.





No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.