UMEONA UTANI WA HAJI MANARA KUHUSU WENGER KUMTAKA JUUKO?
Afisa habari wa Simba Haji Manara ni mmoja kati ya watu wanaopenda soka la England lakini pia ni moja kati ya watu wanaopenda kuwatania mashabiki wa Arsenal ambao timu yao haifanyi vizuri kwa sasa.
Haji Manara kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika kwa utani kuwa amepokea simu kuwa Arsenalwameomba kumsajili beki wao mganda Juuko Murshid lakini hawamuuzi kwa sasa hadi kocha Wengeraondoke.
No comments