FULL TIME STARS YAIBUKA NA USHINDI MBELE YA BOTSWANA, MSUVA ANG'ARA, ATUPIA 2.



Mechi ndo imeanza Tanzania 0-0 Botswana, Dakika ya 3 Tanzania 0-0 Botswana, Gooooooo dakika 05 Simon Msuva anaipatia Tanzania Goli la Kuongoza, Tanzania 1-0 Botswana.

Dakika ya 09 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 13 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 15 Botswana wanapata kona ya 3 Tanzania hawajapata hata moja, Dakika ya 17 Tanzania 1-0 Botswana.

Dakika ya 20 Tanzania wanapata kona ya Kwanza, dakika ya 21 Tanzania wanapata kona ya pili, dakika ya 22 Tanzania Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 24 Tanzania Faulu 2- 4 Botswana.

Dakika ya 28 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 29 Tanzania Faulu 3-6 Boatswain, dakika ya 31 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 32 Tanzania wanapata kona ya tatu, dakika ya 43 Tanzania Faulo 5-6 Botswana.



Dakika ya 36 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 37 Botswana wanapata kona ya 5, dakika ya 40 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 42 Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 44 Tanzania 1-0 Botswana, dakika 3 za ngongeza Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 45+2 Tanzania 1-0 Botswana.

Mpira ni Mapumziko mechi ya kirafiki Tanzania 1-0 Botswana goli la Simon Msuva dakika ya 05 kipindi cha Kwanza

Kipindi cha pili kimeshaanza Tanzania 1-0 Botswana, dakika ya 53 Tanzania 1-0 Botswana.
Gooooo dakika ya 61 Simon Msuva anaipatia Tanzania goli la pili, Tanzania 2- Botswana

Mabadiliko Shiza Kichuya anatoka anaingia Farid Mussa, Mabadiliko Khamis Abdallah anatoka anaingia Said Ndemla, Mabadiliko anatoka Simon Msuva anaingia Elias Maguli.

Dakika 4 za nyongeza Tanzania 2-0 Botswana

Mpira Umeisha Tanzania wanapata ushindinwa goli 2-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Botswana magoli ya Simon Msuva dakika ya 05 na 61.



No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.