KAMA HUKUONA PENATI ZOTE ZA SIMBA VS YANGA, HIZI HAPA ( +VIDEOS )
Jumatano ya August 23, 2017 ligi kuu Tanzania bara imefunguliwa rasmi kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati Simba dhidi ya Yanga. Simba wameibuka mabingwa kwa kuifunga Yanga kwa penati 5-4 baada ya timu zote kutofungana ndani ya dakika 90.
Method Mwanjale, Emanuel Okwi, Haruna Niyonzima, Shiza Kichuya na Mohamed Ibrahim ‘Mo’ walifunga penati zao kwa upande wa Simba wakati Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ mkwaju wake wa penati ukidakwa na golikipa wa Yanga.
Penati za Yanga zilifungwa na Thabani Kamusoko, Papy Tshishimbi, Emauel Martin na Donald Ngoma huku Kelvin Yondani penati yake ikidakwa na Aishi Manula wakati Juma Mahadhi yeye akipaisha
<script async src="//pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js"></script>
<!-- SIMO -->
<ins class="adsbygoogle"
style="display:block"
data-ad-client="ca-pub-2559052608679280"
data-ad-slot="3498513425"
data-ad-format="auto"></ins>
<script>
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
</script>
.
<script async src="//pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js"></script>
<!-- SIMO -->
<ins class="adsbygoogle"
style="display:block"
data-ad-client="ca-pub-2559052608679280"
data-ad-slot="3498513425"
data-ad-format="auto"></ins>
<script>
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
</script>
.
No comments