JENGO LA YANGA KUPIGWA MNADA TAREHE 19/8 ?



Mahakama imetoa amri ya jengo la YAnga makao makuu ya klabu hiyo mitaa ya Kaunda na Jangwani kunadiwa.

Hii inatokana na deni la kodi ya Majengo la Sh milioni 300 ambalo klabu hiyo inadaiwa na Serikali.

Hali hiyo inaonekana kuwashitua mashabiki wengi wa Yanga jambo ambalo kila mmoja amekuwa akijiuliza kulikoni lakini pamoja na taarifa hizo ni kuwa klabu ya yanga pamoja na uongozi kiujumla wamekwisha anza mazungumzo ya haraka katika kusuluhisaha tatizo hilo bado Utouh News tunazidi kupambana ili kumpata msemaji mkuu wa YANGA kusudi apate kutolea ufafanuzi juu ya swala hili pamoja na kukata kiu kubwa ya hofu kwa mashabiki wa yanga pamoja na uongozi kijumla kuwa pamoja nasi tutakujuza kila kitu hapa hapa





Juhudi za kuwapata viongozi wa Yanga zimekuwa ngumu kwa kuwa wengi hawakuwa wakipokea simu

No comments

Theme images by hdoddema. Powered by Blogger.